Wednesday, April 9, 2014

matokeo ya mid term yataonekana hivi punde endelea kusubiri

Tunaomba radhi kwa kuchelewa kuweka matokeo ya wanafunzi hii ni kutokana na tatizo la kimtandao

taarifa ya matokeo ya nusu muhula yatatolewa hivi punde

pamoja na matokeo ya maendeleo ya wanafunzi pia tumepokea jumla yawalimu kumi na sabakati yao nane wanafundisha masomo ya sayansi na tisa sanaa